MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA TAFIRI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Abdallah Ulega wakishuhudia utiaji saini ya makubaliano ya ufanyaji wa Utafiti kwa pamoja kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TAFIRI Dkt. Ismael Kimirei (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa ZAFIRI Dkt. Zakaria Khamis (Kushoto) tarehe 26 Oktoba 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa APC Mbweni, Jijini Dar es Salaam

Post a comment