Latest News
-
TAFIRI YASHIRIKI WARSHA YA TAKSONOMIA YA SAMAKI NCHINI AFRIKA KUSINI
Watafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), kituo cha Dar es Salaam, Dkt. Mathew Silas, Bw. Godfrey Rusizoka na Bw. Patroba Matiku wameshiriki warsha ya Taksonomia...
-
TAFIRI NA CHUO KIKUU CHA ZURICH WATOA MAFUNZO YA UFUGAJI SAMAKI ZIWA TANGANYIKA
Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) kwa kushirikiana na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Zurich...
-
TAFIRI YASHIRIKI MKUTANO WA TATHIMINI YA MAZINGIRA YA UFUGAJI SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA
Mkurugenzi wa Uendelezaji wa Tafiti na Uratibu, Dkt. Mary A. Kishe (wa tano kutoka kushoto), pamoja na baadhi ya watafiti wa TAFIRI...
-
VIONGOZI WA TAFIRI WAKAGUA SHUGHULI ZA MAONESHO YA SABASABA 2024
Mkurugenzi wa Utafiti na Uratibu, Dr. Mary Kishe (wa tatu kutoka kulia) na Mkuu wa Rasilimali Watu na Utawala, Bi. Joan Ndibalema (wa tatu kutoka kushoto)...
-
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI (UVUVI) ATEMBELEA TAFIRI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Edwin Mhede (wa pili kutoka kushoto), akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Uvuvi, Prof. Mohamed Sheikh...
-
TAFIRI YASHIRIKI UFUNGUZI RASIMI WA MAONESHO YA SABASABA 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Dkt. Ismael Kimirei, akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Taasisi hiyo wakati wa ufunguzi rasmi ...
-
KATIBU MKUU WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA BANDA LA TAFIRI KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2024
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe (Kushoto), ametembelea banda la Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) na kisha kusaini kitabu cha wageni wakati wa ufunguzi rasmi...
-
NAIBU MAKATIBU WAKUU WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WATEMBELEA BANDA LA TAFIRI KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2024
Naibu Makatibu wakuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, (Kulia) Dkt. Edwin Mhende (Uvuvi) na (Kushoto) Prof. Daniel Elius Mushi, wametembelea banda la Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI)...