TAFIRI YASHEREKEA MIAKA 40 TANGU KUANZISHWA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mh. Daktari Dotto Biteko (Mgeni Rasimi) wa tatu kutoka kulia akiwa ameambatana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Addallah Ulega wa nne kutoka kulia katika sherehe ya maadhimisho ya miaka 40 ya TAFIRI tangu kuanzishwa. Sherehe hizo zilifanyika kuanzia tarehe 24-26 Oktoba, katika ukumbi wa Mikutano wa APC mbweni, Jijini Dar es Salaam. Pia maadhimisho hayo yaliambatana na uzinduzi wa mkakati wa Kupunguza hasara na upotevu katika Uvuvi wa Dagaa wa Tanzania Bara (2023-2033).

Post a comment