TANZANIA IMEPOKEA MELI YA UTAFITI YA DKT FRIDTJOF NANSEN

Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi- Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman (Katikati, Waliokaa), akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara za Mifugo na Uvuvi (JMT) na Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi (SMZ), Mkurugenzi Mkazi wa FAO-Tanzania na watafiti mbalimbali mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ndani ya meli eneo la Bandari ya Malindi, ikiyopo Mjini Unguja, Zanzibar Aprili 02, 2025.

Post a comment