TAFIRI YASHEREKEA SIKU KUU YA WANAWAKE DUNIANI

Mapema leo, tarehe 8 Machi 2024, wanawake wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi wa Tanzania (TAFIRI) kutoka Makao Makuu na kituo cha Dar es Salaam, Mwanza, Kigoma, Kituo cha Sub-station, na Kituo cha Kylea, walisherehekea Siku ya Wanawake Duniani kwa kauli mbiu: "Wekeza kwa Wanawake: Kuharakisha Maendeleo ya Kitaifa na Ustawi wa Jamii. .

Post a comment